Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akipanda mti
katika shule ya msingi Igula katika Tarafa ya ismani
Wafanyakazi
wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa
Mkurugenzi bg wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu
ya shughuli za shirika hilo.
Hivi nini mchango wa serikali katika uendeshaji wa hizi orphanage centres kwani kuna baadhi zina hali mbaya sana mpaka utawaonea huruma watoto.
ReplyDelete