Jay Ram ni Msanii Chipukizi ambae anaishi inchini Marekani katika mji wa Texas Amarillo, Jay Ram  amesha achia wimbo wake wakwanza unao enda kwa jina la Honey aki featuring Daddy Face. Na hii ningoma yake ya pili ambayo amechia video yake ambayo inakwenda kwa jina la UNANIWEZA. video imetengenezwa na PDK FILMS. 

LINK HII HAPA YA VIDEO: http://youtu.be/gWqOln5C6JA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...