Msanii Ashery Mkama wa Dar es salaam amefika ofisi za Globu ya Jamii na kutambulisha kazi zake zilizokamilika za sanamu za wanyama mbalimbali alizotengeneza kwa kutumia karatasi . Anasema yeye ana uwezo wa kutengeneza sanamu ya mnyama yeyote ama kitu chochote kile. Ukihitaji huduma zake mwandikie kwa kutumia email ya asherymkama@gmail.com
Home
Unlabelled
introducing kazi za msanii ashery mkama wa dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...