Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe la ushindi mwakilishi
wa kampuni ya Jambo plastics Bi.Rupa Suchak baada ya kampuni yake
kuibuka mshindi katika shindano la kuwania tuzo ya Rais ya Mzalishaji
bora wa mwaka 2013 katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam jana usiku (picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Jambo Plastics yaibuka kidedea Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora mwaka2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...