Home
Unlabelled
Je, mishikaki imehalalishwa kisheria????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii imenipa afya asubuhi hii.
ReplyDeletemishikaki imekwenda shule ila ule wa abiri wanane na ule wa maafande na mmoja kaketi kwenye kiroba balau
ReplyDeleteTatizo ni kuwa,
ReplyDeleteSheria na Taratibu za Usalama barabarani zinafahamika, lakini matumizi ya magazeti yanaharibu kila kitu!
Hebu angalia hapo Trafiki amewakamata lakini jamaa akiingiza mkono mfukoni hakafu akakunja kipande cha gazeti akampa Trafiki utashangaa hutaona wanaenda Kituo cha Polisi utakachoona ni kuwa safari inaendelea!
Ni halali ikiwa afande ameula kwa hongo huo mshikaki.
ReplyDeleteMtungo!
ReplyDeleteHii Mishikaki mingine naona barka ya 'kukobeana' tu. Haipendezi kupakizana mithili hiyo, khususan kwa jinsia ya kike tena mtu mzima, kwenda kuwekwa kati na kati kama chetezo haipendezi, kheri wawe watoto wadogo, lakini pia siyo salama kupakizana kwa aina hiyo. tuwe wastaarabu wakati mwingine na pia tujithamini na kujitunzia hadhi na heshima zetu, japo kuna tatizo la usafiri, lakini tusijiendekeze sana na kuchukulia dhana ile inayosema ati...msafiri kafiri. La msingi ni kujali usalama kwa kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa za usalama barabarani kwa raia, vyombo na mali zao.
ReplyDelete