Wananchi wa Kijiji cha Kikombwe wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa CCM,jimbo la Kalenga ,wakimsikiliza mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akijinadi na kuwaomba kura kwa ridhaa yao awaongoze kama Mbunge
MWENYEKITI wa Kitongoji cha Lupembelwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya Chadema, Ezekiel Kibiki akikabidhi kadi ya chama hicho kwa Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Delfina Mtavilalo, baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo katika jimbo hilo, leo katika kata ya Lwamgungwe,Iringa Vijini mapema. 
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akijinadi na kuwaomba kura kwa ridhaa ya kuwaongoza kama Mbunge,Wanakijiji  wa Lupembe lwasenga,katika kata ya Lwamgungwe,Iringa Vijini mapema leo jioni.
 Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA,ambaye kwa sasa ni Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe akimnadi Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, uliofanyika katika kijiji cha Kikombwe leo.


 Mkutano ukiendelea wa kumnadi mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha CCM,katika kijiji cha kijiji cha Kikombwe leo.
 Baadhi ya Wanakijiji wakifuatilia mkutano (CCM) wa kampeni wa chaguzi ndogo wa jimbo la Kalenga,katika kijiji cha Lupembe lwasenga,katika kata ya Lwamgungwe,Iringa Vijini mapema leo jioni
 Baadhi ya Wanachama wa CCM wakifuatilia mkutano wa kampeni wa chaguzi ndogo wa jimbo la Kalenga,katika kijiji cha Lupembe lwasenga,katika kata ya Lwamgungwe,Iringa Vijini mapema leo jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...