Kenya, Rwanda and Uganda made an announcement on the introduction of the East African single joint visa, which took effect on 1st January 2014. The Kenya, Rwanda and Uganda Ministers and High Commissioners and Tourism Board Heads officially graced the launch of the new cross-border visa today at Kenya, Rwanda and Uganda common pavilion at this year’s Internationale Tourismus-Börse (ITB) held annually in Berlin.
The tourist cross-border visa between Kenya, Rwanda and Uganda costs USD $100. The single tourist visa resulted from a joint initiative and decision made by the Heads of State of the respective countries. Before the establishment of the single entry visa for Kenya was USD $50 (approximately £30), for Uganda was USD $50 (approximately £30) and Rwanda was USD $30 (approximately £18).
Kenya’s Minister for East African Affairs, Commerce and Tourism Mrs Phyllis Kandie applauded the joint tourist move, ‘This will enrich the tourist product offering in Kenya, Rwanda and Uganda. The region will benefit from an increase of tourists and numbers of days spend in these countries that have a wide range of products. The region is bound to harvest a much larger share of the over 50 million tourists visiting Africa each year’.
The Chief Executive Officer of the Rwanda Development Board Amb. Valentine Rugwabiza said: “The launch of the cross- border visa is a huge milestone in our regional integration efforts that will continue to largely benefit tourists. We have already felt its positive impact, since January 1st, 2014, as we are noticing an increasing number of travellers to the East African region. With this partnership, our unique selling point as a region is highlighted as we have a wide range of experiences to offer.”
“The launch of the East Africa single tourism visa at the Rwanda, Uganda and Kenya tripartite meeting is a strong signal of the East African commitment to the integration process and marketing East Africa as a single destination. The visitors from our source markets will be able to benefit from the Multiple Entry Visa provision to tour the sister countries.” Hon. Dr. Maria Mutagamba, the Uganda Minister of Tourism, Wildlife and Antiques confirmed.
Uganda is delighted to join her neighbours in providing greater value for the tourists and facilitating the movement of people through the Great Rift Valley states that share much commonality but provide a diverse range of natural and cultural attractions. The minister further notes that this initiative will make the region more competitive and is bound to reduce the cost of doing business in the region.
The introduction of the Joint tourist visa has so far boosted regional travel, adding value to the tourism product offerings of these countries and highlighted the diversity of East Africa.
CoW is starting to bear fruit! Aliyelala usimuamshe, ukimuamsha...
ReplyDeleteTZ bado tunashughulikia Katiba, tukimaliza tu, mtatuona.
All the best neighbors.
ReplyDeleteBora waendelee wenyewe HUU NI MKENGE uliopangwa kuinasa TZ!
ReplyDelete1.Huu ni Mpango wa Kisiasa zaidi kuliko uhalisia, pia una Maslahi ya upande mmoja, mfano Kenya ina pokea Watalii wengi wanao kuja EAC kupitia Nairobi licha ya kuwa wengi wa Watalii hao huja TZ, hivyo Fedha ambayo ingepata TANZANIA ingepokewa na Kenya na Tanzania kuambulia sifuri.
2.Huu Mpango hauna Tija wala nini kwa Tanzania, kama Mtalii ni wa kweli hawez kushindwa kutoa USD 150 apunguziwe DOLA 50 ili alipe USD 100 kutembelea nchi zote 3 , hapa maana yake walitaka kutumia VIVUTIO VYA TANZANIA ILI KUJINUFAISHA KIBIASHARA, TUKUMBUKE KTK MAAJABU 7 YA KITALII YA DUNIA MA 4 YAPO TANZANIA, SASA KWA MWENYE AKILI ATAJUA WAJA JAMAAM WALITAKA KUTUMIA NAFASI HIYO hawana uimarishaji wa Afrika ya Mashariki wala nini.
3.Tanzania inatoa kiwango cha juu cha Utalii yaani 'Quality Tourism' ambapo Package zake ama Wageni wajao huku ni Matajiri na wanao mudu viwango vya juu kutokana na vivutio vya ubora wa juu vya TZ, wakati CoW , Kenya, Uganda na Rwanda wana aina ya 'Mass Tourism' aianya Utalii wa viwango vya chini kwa watu wa hali ya chini. hivyo wakitumia vivutio vyetu watatunyonya sana na kutuathiri Kimasoko ktk Biashara ya Utalii, huku tukiju awao ni wasanii na wezi wazuri sana.
4.Wao wenyewe Kenya , Uganda na Rwanda mpango huu wa Visa moja ya Utalii kwa Wageni na Raia Kutumia ID, Vitambulisho Kusafiri ungali unawatoa kamasi na pana kila dalili utayumba ma kuanguka kabisa, kama juzi juzi tu baada ya kutangazwa Wafugaji wa Rwanda waliingia Uganda na makundi yao makubwa ya ng'ombe na mifugo Waganda wakalalamika sana.
5.Huu Mpango ni hatarishi Kiusalama kwa kutoa nafasi kwa Wazamiaji kwa kuwa Tanzania itashindwa kudhibiti mtiririko wa Wageni nchini wakiwemo Wahalifu kama Majambazi, Wezi na Magaidi.
Kwa vile maamuzi ya wageni kuingia TZ yataamuliwa na huko wanakotokea na sio Tanzania yenyewe kudhibiti Milango yake.
HIVYO KILA LA KHERI KWA NDUGU ZETU MPANGO HUU KWA SABABU NA MAPUNGUFU HAYO MATANO 5 HAPO JUU HAUTUFAI TANZANIA!
Good for them.
ReplyDeleteAcha tuwe wa kweli Rwanda na Uganda zinaongozwa na viongozi waliozoea kuwaburuza wananchi wao na wananchi wa jirani kama kongo na sudan pamoja na Burundi.
ReplyDeletesasa Tanzania haitaki kuburuzwa na historia yake inatisha museveni anajua vizuri na kagame anaelewa ndio maana anacheza congo na majirani wengine sasa ushirikiano na Tanzania unawatatiza kiasi Fulani ndio maana wanaikumbatia Kenya.
hasa kwa kuwa wao hawana bandari na wataihitaji Mombasa.
Tanzania hatuna ulazima wa kuungana na hizi nchi tunajitosheleza muhimu ni kuimarisha miundo mbinu yetu watakuja wenyewe kuomba undugu hapo ndio watakutana na bei poa ya kiulaya ulaya kazi kwao.
mdau.
kigoma.
'Coalition of the Willing' CoW Kimpango wao waacheni wandelee!
ReplyDeleteHakuna ufanisi wa kitu kama Single visa na ID for citizens kwa kushirikiana na nchi ambazo viwango vya uhalifu vipo juu kama Rwanda, Uganda na Kenya!
Si mnakumbuka majambazi yalivyo tutesa kabla ya Operesheni Kimbunga?
TANZANIA tuna vivutio vyote ambavyo CoW wanavyo. Pia Tanzania inaongoza kwa mapato katika sekta ya utalii katika eneo letu la Afrika Mashariki.
ReplyDeleteHakuna ulazima wa kuwa na visa ya pamoja, ila tunachotakiwa kufanya ni kutoa visa ya bei rahisi zaidi na kuwashawishi watalii watembelee nchi moja tu, TANZANIA.
Wakenya wanaogopa competition toka Tanzania katika masuala ya utalii ndiyo maana sasa wanataka ushirikiano.
Utalii ni biashara. Mataifa ya Afrika Mashariki yanapaswa kushindana/competition na nchi yenye vivutio vingi na huduma nzuri itashinda--kwa maoni yangu nchi hiyo ni TANZANIA.