Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU TOKA NEW YORK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hata muweke urai wa nchi nne, SITAKI uraia wa nje unanitosha!!!!
ReplyDeletewewe anonymous, kwa naneneo yako mwenyewe,hujaweza kujieleza kwa makini kwa nini hupendekezi uraia wa nchi pacha."hata muweke urai wa nchi nne, SITAKI uraia wa nje unanitosha!!!!". Wewe una uhuru wa kuzema lolote lile unalotaka.Unatakiwa uwe kwenye mstari wa mbele kama wenzako waliotoa majina yao, wakati wao,ujuzi wao,na sifa zao kwa kupendekeza uraia pacha. Vile vile wao wametoa mapendekazo ya kuelimisha watu kutumia njia za kidemocracia.
ReplyDeleteUnaogopa nini kusema jina lako au nafasi yako kama unapenda sana nchi yako.
Mdau wa kwanza na mie nakubaliana na wewe, na mimi uraia mmoja tu, American. Pasi yangu ina jina la kibantu na nimezariwa DSM. lakini inapenya sehemu nyingi ulimwenguni bila haja kuomba visa. Ndio tunaita uhuru wa kusafiri. Kwanza wabongo wamekazana oh sijui hii pasipoti yetu ina faida sana, Breaking News, ni takataka tu. Na jamaa wanaotaka kurudi ni sababu ya upendo wao tu. Mie Niko poa na uraia wangu.
ReplyDeletesio kila mtu aliyekuwepo ughaibuni anataka uraia pacha. Sioni sababu ya nyie kulalalmika. Kama mnataka kurudi Tanzania unarudi na kukaa vizuri tu. Wapo wahindi wengi tu Tanzania hata sio watanzania wanaishi vizuri tu. Nyie mnalia lia tu, kama unataka kurudi bongo wewe rudi tu haijalishi wewe una uraia wa nchi gani. Halafu mnaongelea kuwa uraia wa kuzaliwa, inadhihirisha kuwa hamjaangalia katiba inasemaje. Tanzania haina uraia wa kuzaliwa, ni lazima wazazi wako wawe Watanzania.
ReplyDeleteUzalendo wa waTZ mlio nje! inawezekana kweli mna uzalendo,maana tumemuona kamanda wa ffu ras makunja jinsi alivyokunywa maji ya bendera ya bongo
ReplyDelete
ReplyDeleteWewe mdau wa tatu :Unahaki ya kuamua urahia wako- hulazimishwi. Wewe ulikpokuja Mearakani umekuta wameriakani weusi wemashapigania haki zao sa usawa wa uraio kwa umwagaji damu- wengi walikufa kwa faida yako wewe. ( discrimination hurts) Fikiria sana kwa kuanagalia maisha ya mbele ya vizazi vijazo na huko tonakendelea- Glabalized social economic development.
Uraia pacha sio wetu sisi- ni kutayarisha matunda ya vizazi vijazo.
Use critical thinking before you write.
Stopped watching during the 1st contributor, and am in favour of dual citizenship.
ReplyDeleteMdau #Anicetus, point yako naelewa lakini sikubali tunyanyaswe na watu ambao ni ndugu zetu lakini wanatukataa. Jamani siyo lazima tuvunjiane heshima. Nimejikubali kuwa mie nilivyo, ni haki yangu. Na ni kweli watu wengine walipigania haki hizo kwa faida zetu. Vile vile, hatuwezi tukawa tunapokea matusi kwa haki zetu toka kwa watu ambao tunasaidia bila faida. Sioni faida ya TZ kwangu zaidi ya upendo wangu. Kitu kikubwa kilichobaki ilikuwa ni upendo wa watu TZ, lakini sasa naona ni unafiki, wivu, umbeya na ujinga. Huwezi ukafanya mjadala na watu ambao hamuelewani(wanatoa sababu za Bulicheka, tunaita za kijinga)Ndiyo maana nimejitoa rasmi. Kwa sababu naona hamna faida kwangu bali tunaambulia matusi.
ReplyDelete