Marehemu Ibrahim Werrema John
Siku, Wiki, Miezi na sasa ni mwaka mmoja tangu ndugu yetu kipenzi Ibrahim John Werrema afariki dunia tarehe 13/3/2013.
Unakumbwa sana na Mke wako Bi. Agatha Ibrahim John, Wazazi wako Bw. Na Bi. John Isaya Keraryo, Dada ya Anna Mrimi na Wadogo zako Israel, Simon, Sunday, Kulwa na Doto,Wanao Brian, Brenda, Chacha na Leonel, Baba Mkwe Boniphace Soka, Shemeji zako, ndugu jamaa na marafiki zako wote.
DAIMA TUTAKUKUMBUKA
AMEN

R.I.P. our fallen HERO, WEREMA !
ReplyDeleteMay your soul Rest In Eternal Peace our brother Ibra.
ReplyDeleteTunakosa busara, hekima, ushauri na upendo uliotupa kipindi chote cha maisha yako. Kimwili hatuko wote kiroho tupo pamoja. AMEN
ReplyDelete