Marehemu Maria G. Mpango
Ni mwaka mmoja sasa toka ulipotangulia mbele za haki tarehe 04/03/2013. Siku zote tutakumbuka kwa upole, ukarimu, ucheshi na upendo wako kwa wote waliotuzunguka. 
Daima unakumbukwa na baba yako mpendwa Bw. George Mapango, Baba zako wakubwa kwa wadogo na wadogo zao wote,Mama zako wadogo dada zako Mariam (Chuma), Eva (Hawa) na dada zako wengine wote, Kaka zako Patrick (Saidi), Jackson (Kibabu) na Richard, shemeji yako Deogratias Sakawa, watoto wako Precious, Priscilla-Gloria na Jasmine bila kuwasahau majirani wa Ocean Road Flats, ndugu, jamaa na marafiki. Misa itakuwa kesho Jumatano Machi 5, 2014 katika kanisa la Mtakatifu Joseph - Saa 12 asubuhi, saa 7 mchana na jioni.
Pumzika kwa Amani. 
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana Lihilidiwe. 
Amina.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli wenyewe. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi. R. I. P Maria (Ia).
    Dachu ( I will always treasure this name my love).

    ReplyDelete
  2. Inna Lillah Waina Illaihi Lajoon

    Namuomba Allah S.W alifanye kaburi lako kuwa ni miongoni mwa viwanja vya peponi, Amina.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...