Mwaka 1997: Ankal (enzi hizo akiwa Daily News) na wenzie Aboubakar Liongo (enzi hizo akiwa RTD) Marehemu John Ngahyoma (akiwa The Express) na Mhe. Mohamed Raza, enzi hizo akiwa mfadhili wa michezo, alipowakaribisha nyumbani kwake mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Miaka hiyo ya 1997 Liongo alikuwa Radio One na Ngahyoma ITV, labda kama ni mapema zaidi ya hapo.

    ReplyDelete
  2. miss u uncle John

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...