Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali za uongozi ambao ni wanawake hushindwa katika chaguzi?
Je, ni kwamba wanawake hawapendi kuwapigia kura wanawake wenzao? Na kwa nini wanawake hawachaguani?
Sikiliza maoni ya wadau wengi hapa kwa kutazama video hii:
WANAWAKE HAWACHAGUANI KWA SABABU WANAFUATA MAELEKEZO TOKA KWA WANAUME. WANAUME NDIO WANAOONGOZA VYAMA NA NDIO WANAOSEMA MSIMCHAGUE MWANAMKE YULE NA WAO HUTEKELEZA MATAKWA HAYO KISHA WANARUDI NYUMA NA KUSEMA WANAWAKE TUNAWEZA TUKIWEZESHWA! AJABU NI KUWA WAMEWEZESHWA KWA KUPEWA MGOMBEA MWANAMKE LAKINI HAWAKUMCHAGUA NA KISHA WATADAI USAWA KWENYE IDADI YA UONGOZI KWA KUTEGEMEA VITI MAALUM, HAO NDIO WANAWAKE.
ReplyDelete