Busara za viongozi wa kisiasa katika semina ya kujadili kanuni zimeokoa jahazi na kikao kuendelea salama leo jioni.
Mwenyekiti wa chama cha CUF na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Ibrahimu Lipumba akichangia.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe.James Mbatia akichangia .
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Freeman Mbowe akichangia.
Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Tanzania Visiwani na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe.,Vuai Ali Vuai akichangia upatikanajoi wa mwafaka wakati wa kujadili rasimu ya kanuni leo jioni. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii.
Fourth week and they have done nothing at all, ie 1/3 of the time wanajaza matumbo yao na hela zao. They will still be there till Xmass - that is my bet!
ReplyDelete