Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika  filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo  alfajiri mjini Los Angeles, Marekani. 
Muigizaji  Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia aliongezea na kusema " Na iwe ukumbusho kwangu na kila mtoto kwamba kokote unakotoka, ndoto zako ni halisi.''

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. I am not proud of an African winning an oscar in a movie about slavery. I find this sad. What was her role really? being beaten and sexually abused? I wonder why we should be proud of this.

    ReplyDelete
  2. Let her be besides you don't owe her nothing

    ReplyDelete
  3. mdau wa kwanza utajibeba!

    ReplyDelete
  4. Slavery and colonialism were the same.All of them were oppressors.Whites came to Africa by saying that their aim was to civilize African who were under dark continent.Instead they sexually abused and raped our women.So who were civilized? It is a trend that goes on and on and on, even in today's movies .So don't get surprise.

    ReplyDelete
  5. Movie characters can do any thing for the sake of money matters.Don't get surprise mdau.

    ReplyDelete
  6. Mdau wa kwanza, u must be smoking something... Who did u expect to play her role, a white girl?
    Movies are r about sending a message, don't get this twisted

    ReplyDelete
  7. Lupita Nyong'o
    Actress
    Lupita Amondi Nyong'o is a Kenyan Academy Award winning actress and film and music video director. She appeared in Steve McQueen's 12 Years a Slave as Patsey, for which she won the Academy Award for ... Wikipedia
    Born: March 1, 1983 (age 31), Mexico City, Mexico
    Movies: 12 Years a Slave, In My Genes
    Parents: Dorothy Nyong'o, Peter Anyang' Nyong'o
    Awards: Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by a Female Actor in a Supporting Role, More
    Nationality: Mexican, Kenyan
    Nominations: Academy Award for Best Actress in a Supporting Role,

    ReplyDelete
  8. The award is not for any Tom Dick and Harry one must know what acting is all about. Let us give credit when it is due, she has done her country and the region proud.

    ReplyDelete
  9. Namuunga mkono mdau wa #1. Hawa jamaaa(weupe) wanatuchezea sana, kwani wanawapa watu weusi ushindi kwa kuigiza vitu ambavyo vitunafanya tujisikie kama watu chini. Mfano, hapa huyu dada amecheza mtumwa,lakini ukiangalia katika sinema nyingine, Malcom X, ambayo Denzel alicheza vizuri lakini akushinda kwa sababu ile sinema ilikuwa inatufanya watu weusi tuonekane watu wa juu.

    ReplyDelete
  10. Ukisema kwamba kuna ubaguzi kwenye Oscars in general nitakubali, kuna ubaguzi kila sehemu ya maisha.

    ila wanaosema kashinda kwasababu ameact kama mtumwa, nafikiri ni kupotoka mawazo na kushusha kazi aliyofanya dada.

    Kwahiyo Brad Pitt au wenzake walioact wana-rape huyu dada wangeshinda tungesemaje? Ohh, wameshinda ili kuonyesha kuwa wanatukandamiza..

    Mimi nafikiri we shouldn't measure EVERYTHING based on color of our skins.

    The operative word is 'everything'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...