MKE WA MAKAMU WA RAIS MAMA AISHA BILAL ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHUGHULI YA #WOMENSCELEBRATION ITAKAYOFANYIKA MARCH 8 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND VIP HALL.
SAMBAMBA NAE ANAONGOZANA NA KIKUNDI CHA WAKE WA VIONGOZI CHA MILLENIUM WOMEN GROUP.
WOMENS CELEBRATION INAYOANDALIWA NA KWA MARA YA TATU MWAKA HUU N BLOG YA 8020 FASHIONS ITAHUDHURIWA NA WANAWAKE KUTOKA KADA MBALIMBALI JIJINI
NA MADA KUU YA MWAKA HUU NI KUKOMESHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE AMBAPO TUNAWEZA KAMPENI YA OXFAM NDIO WANATAKAOTUPA SOMO JUU YA KUPAMBANA NA UKATILI.
NA SPONSOR WA SHUGHULI HII NI TUNAWEZA KAMPENI,PSPF,SHEAR ILLUSIONS,MAZNAT BRIDAL CARE,PIXEL BASE,SIMPLY MADINI,  MICHUZI MEDIA GROUP NA AMERICAN NAILS
TAZAMA PICHA TOFAUTI ZA MAMA AISHA BILAL AKIWA KATIKA HAFLA TOFAUTI mama aisha  bilali
#AFRICANPRINT NDIO KIVAZI CHA SIKU
Blog-Ad-High-Res mmg

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...