Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akizindua mfuko wa Elimu Tanzania (TEF) kwa ajili ya kusaidia elimu ya msingi na sekondary kwa watoto wa kike na wakiume waliopo katika mazingira magumu. Kulia kwa mama Pinda ni Rais wa Tasisi ya mshikamano wa wanawake wa kiafrika kutoka nchini Maerkani Bibi Rwanda Saleem na kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama cha walimu wanawake Tanzania (TAWOTEA) Mwalimu Fatuma Kambi. Sherehe hiyo imefanyika jijini Dar es salaam katika kusherehekea siku ya wanawake duniani
Mama Tunu Pinda akimzawadia Rais wa Tasisi ya mshikamano wa wanawake wa kiafrika kutoka nchini Maerkani Bibi Rwanda Saleem gauni lilotengenezwa kwa batiki. Anaye shuhudia mwenye hijabu ni mwenyekiti wa chama cha walimu wanawake Tanzania (TAWOTEA) Mwalimu Fatuma Kambi katika sherehe hiyo iliyofanyika jijini Dar es salaam katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani
Mama Tunu Pinda katika picha ya pamoja na Rais wa Tasisi ya mshikamano wa wanawake wa kiafrika kutoka nchini Maerkani Bibi Rwanda Saleem na viongozi wa TAWOTEA. Picha na Chris Mfinanga
Rhonda (hutamkwa Rwanda) Saleem.
ReplyDelete