Dakta Victor Stanculescu wa Romania, Tambwe Leya wa DRC Marcio Maximo wa Brazil ni majina ya makocha ambayo hayatasahaulika nchini Tanzania. Victor alipata umaarufu kwa falsafa yake ya kukuza vipaji kwa vijana na akafanikiwa sana pale alipotengeneza nyota wengi kwa timu hiyo na Taifa Stars, Tambwe Leya anakumbukwa kwa falsafa yake ya nidhamu na bidii mazoezini. Maximo hatosahaulika kwa kuamsha ari ya soka na kuifanya Taifa Stars ipendwe na wananchi kama kwamba ni klabu ya mpira.
Home
Unlabelled
maximo bado anakumbukwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...