Carol Mbilinyi enzi ya uhai wake
KWA WENZANGU WANA PAZI,
DADA YETU CARO MWAISELAGE MBILINYI ANAZIKWA KESHO TAREHE 9 MARCH 2014 SAATISA MCHANA KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. KABLA YA HAPO SHUGHULI ZA MISA ZITAFANYIKA KANISA LA KILUTHERIL UKONGA.
TUJITAHIDI KUMSINDIKIZA DADA
YETU KWENYE SAFARI YAKE YA MWISHO.
KWA TAARIFA ZAIDI TUNAWEZA KUMPIGIA SIMU KAKA YAKE DR. JULIUS MWAISELAGE KWENYE NO. 255754764412
,
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI
AMINA
R.I.P.Dada Caro
ReplyDelete