![]() |
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akisaini fomu za mgombea Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. |
Home
Unlabelled
Mh. Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jamani hili bunge si la miezi miwili tu, haya yote kweli yana umuhimu gani? maelfu yanatumika kufanya haya ilhali ni ingelikuwa rahisi wagombea wangelisimama mmoja mmoja kujieleza hapo bungeni na kupigiwa kura ya ndio/hapana bila ya kupoteza muda na mamilioni ya pesa bure!!!!!
ReplyDeleteViongozi wa Tanzania wa ngazi zote wanapenda kurefusha kila jambo maana kila likichukuwa muda na marupurupu yao yanakuwa mengi zaidi