Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989.
Familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama una fununu au kujua lolote kuhusiana na ndugu yetu huyu unijulishe mimi naitwa Lugome Fautus email yangu ni .
Lengo nikuweza kuwafahamisha ndugu zake nyumbani Tanzania. Asante kwa ushirikiano wako. Tunatanguliza shukurani

Michael Lukindo akiwa na mkewe na watoto wake wanne.
Historia yake
Augustino “Mike” Lukindo, 59 , departed this life on Sunday, March 16, 2014, surrounded by his immediate family. Mike was born and raised in Tanzania, Africa (Tanga) to Augustino and Josephine Lukindo. He moved to America in the early 1980’s, where he lived in Providence, Rhode Island for five years. Mike married Lillie B. in Rhode Island, and later moved to Madison where they built their family of four and confessed his life to Christ.
Mike was a family man, a funny guy with a good sense of humor. He loved to joke around. He liked comedy and he loved going to his children’s school to participate. He always had a smile and his favorite phrases were “Hey Brother-in-law , Sister-in-law, where the party at?” Mike was of true African decent, he never forgot his heritage.
Augustino “Mike” was proceeded in death by his mother, father, siblings and one sister-in-law, Irlene Person-Wilson. Mike is survived by his wife Lillie, son Augustino Franklin, three daughters Amanda, Josephine and Adrian Lukindo, all of Madison.
Kwa taarifa zaidi ya siku ya kuaga mwili bofya hapa
The mdudu,ohoo mnaona sasa ndugu zangu watanzania ulioko huko nyumbani Tanzania hebu tunakuombeni mtuokoe na majanga kama haya angalieni sasa Mtanzania mwenzetu yaliomkuta tunautaka huo uraia pacha jamani
ReplyDeleteThis is so sad issue,R.I.P Lukindo,Lakini wa Tanzania wenzangu tuwe na utamaduni wa kutafuta ndugu zetu tukiwa hai,tusisubiri Mauti yakitufika unaacha mzigo kwa familia kuanza kutafuta ndugu.Kwa mtazamo wangu ktk miaka yote hiyo aliyokaa huko hakuwahi kuwapigia sm ndugu zake,jamaa au marafiki? Kama aliweza kukaa kimya miaka yote hiyo bila mawasiliano na ndugu zake ni hatari hata hao ndugu si ajabu nao washakufa.poleni wafiwa na wa Tanzania wenzangu mkiwa huko msitusahau ndugu zenu hata kwa salamu tu inatosha.Again R.I.P Brother!!!!!
ReplyDeleteR.I.P Michael.
ReplyDeleteTumuombee ndugu zake wapatikane na waweze kujulishwa japo ni habari za msiba. Ndugu ni ndugu na damu siku zote ni nzito.
Poleni Sana, Nashauri taarifa hii ipelekwe kwenye TV Station, Magazeti na Radio hapa nchini. zitasaidia kuwapata ndugu za Marehemu.
ReplyDeleteMay God rest his soul in peace, some relatives I know are:
ReplyDeleteMost senior:
Dr.ANTHONY LUKINDO
20 CITADEL HILLS GREEN NW
CALGARY AB T3G 3T5
Canada
Phone 1-403-612-1849
Others:
Japhet Lukindo: TRABAG INC.
Charles Lukindo: Coulson Harney
Alice Lukindo: Tanzania National Roads Agency
Anthony Lukindo: University of Minnesota
Dorothy M. Lukindo: Zimmerman McKinnon Anderson, Canada
Sophia Lukindo, Calgary Canada
Mimi ni mmojawapo wa watu uliowataja hapo juu kama "relatives that you know" wa marehemu.
DeleteFirstly, I want to say that I do empathise with Michael Lukindo's family and offer my sincerest condolences and my sympathy on this sad occasion, but I need to express my annoyance at you for listing down my name (and giving my brother's contact information) while stating as fact that which is NOT true. I suspect the extent of your search efforts was the use of Google. For your information, having the same surname does not automatically make people relatives, no matter how attractive the notion.
So, just to be clear, Anthony Lukindo, Sophia Lukindo and I are not related to Michael Lukindo. Nor are we related to the other "relatives" you listed with us.
I appreciate that you wanted to be of assistance, but giving incorrect information does not help any.
Dorothy M. Lukindo
Kuna familia ya Lukindo Dar ambao wanatoka Tanga. Sijui kama ni ndugu wa huyu.
ReplyDeleteUkiwa ughaibuni uoe huko julisha watu wako ndugu zako.
kuna ndugu zake nimwapata wa damu nimewapa taarifa ilikuleta masiliano na wale walio marekani hizi ndo namba za ndugu zake hapa dar es salaam +255 715 053067 na +255 754 053067 anaitwa Dastan Michael lukindo marehemu ni baba yake mdogo
ReplyDeleteMm kinachonisikitisha hapo ni kitendo cha kumchoma moto. Hiyo kitu anatakiwa kufanya Mungu peke yake. Poleni wafiwa.
ReplyDeleteKwanza kabisa Namwombea kwa Mungu ampuzike pema peponi Ndugu Lukindo. Pili, nataka kusema the Mdudu na Mkuu wa pili. Ndugu Lukindo mie naona alikuwa amejipanga vizuri tu. Kwani kabla ya kuapumzika alishasema anataka mwili wake uchomwe na hii ni kupunguza gharama za kurudisha mwili Bongo. Na unaposema labda alikuwa awasiliani na ndugu, ni kweli inawezakana kuwa hivyo, maana kwa kauli za fitina, wivu, na uongo wabongo wachache wanazotoa kwa ndugu zao wanaDiaspora sasa hivi ianwezakana zilimkatisha tamaa. Marehemu ana shida, yeye kampuzika najua labda ndugu zake(watoto na mke), ambao ni haki yao wantaka kujua ndugu zao wa TZ, lakini sasa kwa kauli kama zinazotolewa wanaweza kujiktua hawana haki. Ndiyo maana inabidi tupiganie hu urai pacha. *Mmbongo Chiberia*
ReplyDeletemmm!jamani haya maisha yakwenda mbali nakutupa kabisa ndugu zako haipenezi mpaka ufe ndio ndugu watafutwe,jamani tuache tabia zakujisahau binadami na unakaa kimya kwaajili upo vizuri unaona labda watakulilia shida zao au?
ReplyDeleteHuyu wazazi na ndugu zake wa karibu walishafariki, niliisoma kwenye obituary yake kwa website.
ReplyDeleteMungu amlaze pema peponi
Ndugu mwingine ambaye baba yake ni kaka ya marehemu, +255 717 725069 Monica Lukindo anaishi Ilala Dar es salaam.
ReplyDelete