Mdau Samson Chekingo anapenda kuwataarifu wote Misa ya kumuombea Mpendwa Baba Yake Major Samuel Isaac Chekingo.Itakayofanyika siku ya Jumamosi 3-8-2014 kuanzia saa 9 jioni (3 PM) had 1 usiku (7 PM) Katika Kanisa la kiluteri lililopo HYDE PARK-South Side of Chicago.
Anuwani ya Kanisani:
AUGUSTANA LUTHERAN CHURCH OF HYDE PARK
AND LUTHERAN CAMPUS MINISTRY
5500 SOUTH WOODLAWN AVE
CHICAGO - IL 60637
Anuwani ya Kanisani:
AUGUSTANA LUTHERAN CHURCH OF HYDE PARK
AND LUTHERAN CAMPUS MINISTRY
5500 SOUTH WOODLAWN AVE
CHICAGO - IL 60637
Tafadhali tunaomba kuzingatia muda wa Ibada ambayo itaanza saa 9 kamili (3pm).
Major Samuel Isaac Shekingo alifariki Tarehe 01-28-2014 Katika Hospitali ya Lugalo.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na:
RSVP to:
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...