Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili
kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya
Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi
wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akikaribishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini IGP Ernest Mangu kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara
ya Jeshi la Polisi.
Maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” jana mjini
Morogoro wakatiwa ufunguzi wa mkutano wa baraza la wafanyakazi idara
ya Polisi.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (katikati), Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
IGP Ernest Mangu (kulia) na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi ,
Alcado Nchinga (kushoto) wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” kwenye ufunguzi
wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...