Hakuna kazi rahisi,na kila kazi inahitaji kujituma,ubunifu na umakini wa kutosha ili kupata kilicho bora.Pichani ni Mwandishi mtayarishaji,Mtangazaji na mpiga picha mahiri wa kituo cha televisheni cha Star TV,chenye makao yake makuu jijini Mwanza,Mpiganaji Abdallah Tilata akirekodi juu na chini matukio ya mapokezi ya mgombea Ubunge wa CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa katika Jimbo la Kalenga, alipokuwa akiwasili kata ya Kalenga-Iringa vijijini mapema leo jioni kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.
Home
Unlabelled
MPIGANAJI TILATA WA STAR TV KAZINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...