Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akiwasili katika ofisi za bunge mjini Dodoma Leo
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Mhe.James Lembeli
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Mhe. Muhammad Seif Khatibu.
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi, akijadiliana na Mhe.Seif Khatib (kushoto) na Mhe.Simbachawene. Pamoja na mambo mengine Jaji Mutungi ameelezea kuridhishwa na mwenendo wa mjadala wa Bunge maalumu la katiba hasa mjadala wa semina yakujadili kanuni. Wabunge wanaendelea na semina ya kujadili rasimu ya kanuni za bunge maalum jioni hii. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...