Home
Unlabelled
mtoto wa miaka 5 avamia uwanja wakati brazil wanacheza na bafana bafana sauzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Good Impression for future generation!!
ReplyDeleteWAACHE WATOTO WAJE KWANGU, YESU ALIJUA KUWA KWA UTOTO WAO HAWATAPEWA NAFASI YA KWENDA MBELE YAKE KWANI WANAONEKANA KUWA HAWANA LOLOTE JEMA MBELE YA WATU WAZIMA.
ReplyDeleteKuvamia uwanja bila kuangalia umri si jambo zuri.Dunia,na hasa watoto walikuwa wanaangalia "live" matangazo haya.Inatoa fundisho gani kwa watoto wadogo wanaoangalia majumbani...
ReplyDeleteSidhani kama huyo mtoto anafahamu hata maana ya kuvamia ni nini au kuvamia uwanja ni nini. Tumchukulie tu kama 'mtoto' au kama watoto wengine katika hafla nyingine mbali mbali, mathalan hata kwenye ngoma zetu za asili na matukio mengine mengi ya burudani, mara ngapi tumeshashuhudia mtoto/watoto wakivutiwa na kujumuika na wazee na vijana katika kuburudika pamoja, seuze huo mpira ndio iwe tija au tuone ajabu. hastahili shutma yeyote huyo mtoto. Na huko hakuitwi kuvamia, nadhani ni jazba tu na upenzi wa mchezo huo khususan watoto wengi wamekuwa wakivutiwa na wanasoka kadhaa duniani. Hivyo kuipata fursa kama hiyo ya kuziona timu hizo 'live' pengine bila kujijuwa alitaamaki keshatinga uwanjani. Kizuri zaidi alipata positive reception toka kwa timu mojawapo kati ya hizo mbili, japo mwanzoni walitaka kumtowa mkuku bila kuzingatia na kujali kuwa huyo ni mtoto tena (just 5yrs old).
ReplyDeleteAna ujasiri, huenda ni kitu akipendacho sana.
ReplyDelete