Home
Unlabelled
NADIR HAROUB ' CANAVARRO ' (www.shaffihdauda.com )
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shafii Dauda,kwa kuzingatia uandishi wa kupromoti team ya Young Africans SC,mchezaji na taifa Tanzania, kichwa cha clip hii ya video ktk youtube kingesomeka: Match: Young Aficans 1 SC - Al Ahly 0. Goal scorer: Nadid HaroubCANAVARRO.
ReplyDeleteHii ingepeleka habari mbaya kwa mashabiki wa timu ya Al-Ahly Cairo kufungwa kistadi kabisa na beki Cannavarro na kupelekea mchecheto mechi ya marudiano Young Africans ya Tanzania kupewa nafasi ya kushinda Cairo.
'Kiswahili' cha youtube ni 'Kiinglishi' na clip hii ingeptiwa na watazamaji maelfu huko Uarabuni.
Mwisho pongezi Shafii Dauda kwa kufanya kazi bila kuchoka ila zingatia angalizo uwe mmojawapo wa wanahabari wa kutajika ndani ya youtube na Afrika Mashariki na ya Kati.
Pia pongezi globu ya jamii maana nilikuwa naitafuta sasa clip ya match hii iliyoleta raha na changamoto mitaa ya Jangwani na Msimbazi.
Mdau
Jijini Cairo.