Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kijijini Msata, Chalinze.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Matokeo ni kama ifuatavyo:
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed Mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wapiga kura za maoni kumchagua mgombea wa kiti cha Ubunge cha Chalinze wakiwa tayari kupiga kura zao leo Msata, Chalinze |
Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akipigia Kura.
Ndg. Ridhiwani Kikwwete akiwa katika foleni ya uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga katika zoezi la upigaji kura Msata (Chalinze).
Sehemu ya wajumbe wa kikao hicho cha kura za maoni
Ccm ya ukweli Uwazi.. R.kikwete Mbunge mtarajiwa ..si mmeona Kura hizo
ReplyDeleteWho said Tanzania didn't have political dynasty???
ReplyDeleteYeh! same as America, Bush senior and junior and Kenya for Uhuru, Karume and Mahmoud Thabit Kombo for Zanzibar.Makongoro Nyerere?Let us wait for Kalenga.How about you and me?
ReplyDeleteKuna overt na covert power...kweli kura ni za wazi
ReplyDelete