HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA MHE ABDALLAH ULEGA IMESHIKA MOTO ASUBUHI HII NA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAENDELEA HIVI SASA.
CHANZO CHA MOTO HUO NA MADHARA YAKE BADO HAVIJAJULIKANA. TUTAENDELEA KUWAPA TAARIFA
ZAIDI KWA KADRI ZITAVYOWEZA KUPATIKANA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...