Safari Sound Band wanakwambia 'Mama lea mtoto wangu' (Chakacha)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Umenikumbusha mbali mi-stew, tamaduni zetu awesome .Kukata kiuono kama kimewekewa grease vile.But looking at the dance now, I can`t help seeing how sexually provocative it is, it is a fantastic way to express beauty. Halafu beti zake sasa kali, nimepata dereva ajuae...., mnazi mmoja.......
    Bongofleva hamtuwezi ng`ooooo

    ReplyDelete
  2. ankol una hakika hawa wanaoimba ni safari sound?

    ReplyDelete

  3. Hawa hawaimbi wala kucheza 'Mama lea mtoto wangu' (Chakacha) na wala sio Safari Sound Band. Hawa wanaimba 'Wawili Wapendanao' Chakacha From COMORO (PAPA L'AMOUR - Ndjema Zaouwana Tsizo). Ispokuwa tu wameweka tune na wimbo huo wa Mama lea mtoto wangu, Lakini kwa nini tusijifunze kuthamini na kuvipenda vilivyo vyetu, badala yake hatwishi kukwapuwa vya wenzetu kujifanya ndio vyetu. Haipendezi. Hii 'copy and paste' sio creativity nzuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...