Kikumbi Mwanza Mpango King Kiki  anakukumbusha "Mama Kabibi"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Dah, Ankali umenikumbusha mbali.

    Wana Masantual Ngoma Ya Mpwita.

    Saxaphone unalisikia chini ya Twahir huku King Kikii na Joho lake kuuuubwa juu ya vilima vya Dar.

    Mambo yote yalikua ukumbi wa White House, Jijini Dar-es-Salaam. Wakati huo bendi zenye makazi yake Tanzania zilikuwa 'Zimeishika Afrika Mashariki na Ya Kati '' over Isha Mashauzi alivyolishika jiji lote la Dar kwa sasa.

    Mdau
    Mpenzi wa Muziki wa Dansi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...