Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Madereva wa daladala hawajali sheria zozote sababu ya uswahiba na matrafiki. Matrafiki wanacheka na kima matokeo tunavuna mabua. Ulegelege na kutopenda kufuata kanuni. Hata kupakia mshikaki cku hizi haipnekani kama ni kuvunja kanuni.

    ReplyDelete
  2. Nimeshasema hakuna wa kutugusa, hata hao traffic mnawasingizia kwamba tunawapa kitu kidogo. Sisi tunataka kuweka hesabu ya bosi sawa bwana! Jaribuni muone cha mtema kuni, tutagoma mtujue umuhimu wetu.

    ReplyDelete
  3. Mdau umenitoa tonge mdomoni.Jana nilikuwa nimerekodi kitu kama hiki mitaa ya Uhasibu pale Kilwa road.Ni suala la sheria tu kutokufuatwa,magari ya serikali yanaongoza kwa hili(Bahadhi)!

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...