Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends Bi.Mariam Shamo,mwishoni Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Wanawake,Bi Magreth Chacha.Hafla hiyo iliofana kwa kiasi kikubwa ilifanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape One,Mikocheni jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Mshindi wa Awards 2014,Bi Leila Mwambungu akiangua kilio baada ya kutangazwa mshindi wa Tuzo ya Mwanamakuka.
Maryam Shamo, Mwenyekiti wa UWF na Meneja mradi wa Mwanamakuka, kulia na Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania,Bi.Magreth Chacha wakimkabidhi tuzo Mshindi wa mwaka 2014,Bi Leila Mwambungu.
Bi Magreth Chacha, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania,ambaye ni Mdhamini na Mdau mkubwa wa UWF katika kuwaongoza Washindi wa mwanamakuka katika kufikia malengo yao,akizungumza machache kwenye hafla hiyo.
 Mdhamini wa mradi wa Somki- Somesha Mtoto wa Kike top 15, Mr. Chriss Wade, akimkabidhi mmoja wa wahitimu aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya kidato cha nne.
Picha Ya Pamoja, baadhi ya wanafunzi wanaonufaika na mradi wa Somesha Mtoto wa Kike, wakiwa na Members wa UWF na Mfadhili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...