Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwalile (kulia)
akisaini mkataba wa msaada ambao serikali ya Ubelgiji imetoa Euro milioni 20
sawa na sh.bilioni 40 za Kitanzania kuisaidia Tanzania. Kushoto ni Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Maendeleo na Ushirikiano Peter Moors akimwakilisha
Waziri wa Ushirikiano kwa niaba ya Serikali ya Ubelgiji hivi karibuni jijini Dar
es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwalile (kulia) kwa
niaba ya serikali ya Tanzania akikabidhiana hati walizosainiana na Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Maendeleo na Ushirikiano Peter Moors (kushoto) kwa niaba
ya serikali ya Ubelgiji hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wageni na waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya
kusaini mkataba wa serikali ya Ubelgiji kuisadia Tanzania Euro milioni 20
sawa na sh.bilioni 40 hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria hafla ya kusaini mkataba wa
serikali ya Ubelgiji kuisadia Tanzania Euro milioni 20 sawa na sh.bilioni 40
hivi karibuni jijini Dar es salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi - MAELEZO)
MISAADA INATUDUMAZA; TANZANIA HAIHITAJI MSAADA. INACHOHITAJI SIASA SAFI
ReplyDeleteThis support will go a long way to enhance the delivery of services in the water sector and to improve agriculture.
ReplyDelete