Home
Unlabelled
SWALI KWA WADAU: JE WAWEZA TAMBUA NI WAPI HAPA NDANI YA JIJI LA DAR??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi hawa wanaoishi huu mtaa wa upanga. Wameshindwa kweli kupanda majani na vi mti, kupendezesha hii sehemu. Wamesha jengewa barabara na sehemu ya watu kupita. Je hicho kipande cha mchanga/udongo, wanashindwa kupanda ata mpemba na viji mnazi?
ReplyDeleteHii njia ni oneway ukiwa unatoka mataa ya joly/aga khan unaelekea upanga,hapo kwenye ghorofa jipya kulikuwa kuna mgahawa unaitwa chicken tika zamani.
ReplyDeleteHapo ni Upanga, kutokea Agakhan Hospital kuelekea Alykhan Road, ni karibu na Ofisi shirika la habari, kama bado ipo.
ReplyDelete(Mdau alieondoka TZ 1990's)
KARIAKOO
ReplyDeleteupanga jamatini ukitokea trafic lights za agakhan hospital
ReplyDeleteFire upanga.
ReplyDeleteThe mdudu,kiwalani hapo lakini mbona jengo liko katikati ya barabara au ni macho yangu 2
ReplyDeleteMaeneo ya ilipokuwa chicken tikka panga
ReplyDeleteHapa ni njia inayotokea las vegas casino kuelekea upanga ukikunja kushoto unaelekea makaburi ya kisutu na regency na kulia msikiti wa mnara wa saa (mashia)
ReplyDeleteupanga u
ReplyDeletekama unatokea taa za Las vegas kasino kwenda Diamond Jubilee
Upanga - Jolly/Aga khan junction towards BBQ House
ReplyDeleteMtaa huo unaitwa nkomo na unakutana na Ally khan ni maeneo ya upanga.
ReplyDeleteMbagala, rangi tatu
ReplyDeleteHapo siyo Tanzania, ni Bangladesh.
ReplyDeleteHapa kweli ni Upanga East kwa King Crazy GK, wapi East Coast!!??
ReplyDeleteHapo usiku kuna vyuku vya tanduri
ReplyDeleteHapa ni Manzese kwa mfuga mbwa
ReplyDeletehapo ni upanga karibu na ofisi za RITA wilaya ya ilala mbele ni kona ya kuelekea hospital ya Taifa muhimbili
ReplyDeleteni upanga corner ya barabara ya nkomo na alykhan.
ReplyDeletemtaa wa sekela kuku hapo. ni one way toka opp na Jolly
ReplyDeleteHapa ni upanga mashariki mtaa wa aly khan, picha imepigwa kutoka traffic light za aga khan. Ingawa ni kama KITUNDA RELINI kama unaenda KINYANTILA.
ReplyDeletemaarifu kwa Babu.. kwa wanaujua mambo ya vyuku usiku hapo Baberquee...,
ReplyDeletehapo ni manhattan, NYC
ReplyDelete