Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis
Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya
Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza
saa 9:00 mchana na kufuatiwa na hutuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum
itakayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete saa 10 jioni. Kwa maelezo zaidi piga 0713 123 254.
Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum
DODOMA
21/03/2014
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...