Takwimu zinaonyesha kwamba kwa sasa asilimia 36% (kutoka asilimia 10% ya mwaka 2005) Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa.
Waziri wa Nishati na Madini
Sospeter Muhongo
Tunashukuru kwa usambazwaji wa umeme katika sehemu mbalimbali za nchi, lakini umekuwa ghali, tunaomba serikali na shirika la umeme waangaliye upya jinsi gani wanaweza wakawasaidia wanachi kwa kuwapa uememe wa uhakika na wa bei nafuu.
ReplyDeleteMheshimiwa Mhongo, issue siyo kuunganishwa ila upatikanaji wa huduma yenyewe, umeme unakatika sana, kiasi kwamba inatia hasira hata kukwamisha maendeleo. Kama kuunganishwa tu hata mambomba ya maji yapo majumbani wka watu ila maji hayatoki. Hebu toa takwimu za asilimia ya upatikanajiw a huduma yenu ya umeme...
ReplyDeleteHongera kwa Wizara na Serikali kwa Ujumla. Maendeleo ni Miundo Mbinu. Unaweza Kujenga Barabara, mwingine akapitisha lori, basi, basikeli au hata kwenda kwa miguu. Wengine wanabalki KUKEJELI na KUTUSI. Hao hawana Maana. Maendeleo ni JINSI wewe Binafsi UNAVYOCHUKUA FURSA! Mheshimiwa Profesa Endelea na KAZI SAFI....
ReplyDeletei think its about time the government ends TANESCO's monopoly and tag foreign and local investors in this industry.. or else Tanesco's bullying will never face actions
ReplyDeletetwashukuru kwa jitihada zetu
ReplyDeleteendeleeni kuchapa kazi,taifa letu bado changa na sekta nyingi bado zinaitaji uneme kwa maendeleo......hongereni
kama mmeweza kuvuta mambomba ya gas toka mtwara hadi dar kwa nini kuna kuwa ugumu wa kusambaza maji kanda ya ziwa Victoria na mikoa yake?
ReplyDelete