Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel (kushoto)
akishikana mikono na Mkurugrenzi wa Kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman baada ya
kuzindua Tamasha la Kihistoria la
Bagamoyo Wilayani Bagamoyo, Pwani . Anayeangalia ni, Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali.
Katibu Tawala wa
Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali alizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo iliyofanyika
Bagamoyo, Mkoani Pwani . Wengine kutoka
kushoto ni, Katibu Msaidizi wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni
Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf
Kipengele aliyekuwa akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Naibu Katibu Mkuu, Wizara
ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel na Mkurugenzi wa
4Beli, Giulbert Herman.
Ofisa Elimu wa Mkoa
wa Pwani , Yusuf Kipengele aliyekuwa akimwakilisha mkuu wa mkoa
huo katika uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika Bagamoyo,
Mkoani Pwani akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. Wengine kutoka kushoto ni, Katibu Msaidizi wa
Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni Zavala, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya
Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel, Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali na
Mkurugenzi wa 4Beli, Gilbert Herman.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya 4Beli, Deogratius Soka (kulia) akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika
Bagamoyo, Mkoani Pwani mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni, Katibu Msaidizi wa
Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf Kipengele aliyekuwa
akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana
Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel, Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali na
Mkurugenzi wa 4Beli, Gilbert Herman.
Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel akizungumza
katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la
Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani. Wengine kutoka kushoto ni, Katibu Msaidizi wa
Shirikisho la Riadha Tanzania, Mama Ombeni Zavala, Ofisa Elimu wa Mkoa wa Pwani , Yusuf Kipengele aliyekuwa
akimwakilisha mkuu wa mkoa huo, Katibu
Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali
na Mkurugenzi wa 4Beli, Gilbert Herman.
Baadhi ya watu
waliohudhuria uzinduzi huo wakimsikiliza mgeni rasmi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...