Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Mhe. Augustino Lyatonga Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Mhe. Ismail  Aden Rage leo Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Mhe. Prof. Costa Mahalu (Kulia) na  Mhe. Tundu Lissu wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba  Mhe. Hamad Rashid (kushoto) Mhe. Juma Alawi (katikati) na  Mhe. Thuwein Thuwein wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge maalum la katiba Mhe. Ally Kessy akiwaeleza jambo Wajumbe wenzie Mhe. Edward Lowassa (katikati) na Mhe. Mathias Chikawe  ndani ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Samwel Sitta (kulia) akimweleza jambo Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Mizengo Pinda ndani ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Mhe. Prof. Costa Mahalu akiwaeleza jambo wajumbe wa bunge hilo wakati wa semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma. 
(PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...