Home
Unlabelled
TASWIRA MWANANA KABISA KUTOKA CHALINZE,MKOA WA PWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo CDM mkiingia ni kutimiza tu haki yenu kikatiba lakini hamtaambulia hata 0.0000000001 ya kura zote.
ReplyDeleteTaswira ya chalinze ni nzuri, nimeona ghorofa moja, ukijani unaoashiria utajiri mwingi kama watu wakiwekeza kwenye kilimo. Picha inaonyesha ni pazuri kwa kweli.
ReplyDelete
ReplyDeleteKama kawa kama dawa CCM oyeeeee. Poleni wahenga wa Kalenga!
Bongo kuzuri bwana. Ona ukijani unavyopendeza. Mie nafarijika kuona nyumbani kupo njema hivi.
ReplyDeleteNi kweli, nyumbani kuna pendeza kweli. Tanzania kwa ujumla ina uoto wa asili mzuri sana sema ukosefu wa elimu kwa baadhi ya watu ndo unaofanya uharibifu wa mazingira. Heko heko Tanzania.
ReplyDelete