Taswira za barabara ya Kivukoni Drive jijini Dar es salaam inayoendelea kukarabatiwa na kujengwa njia ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni nje ya Mahakama Kuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Dar inajitahidi kuboreshwa kazi iko mikoani na wilayani

    ReplyDelete
  2. kusema ukweli serikali ya Kikwete kwenye swala la barabara wamejitahidi. hata kama fedha zimetoka kwa wafadhili, zingeweza toka kwa wafadhili na zisifanye chochote na wala tusijue zilipo potelea, lakini tunampongeza Kikwete na serikali yake katika hili la barabara. Kabla hujatoka madarakani kumbuka basi na barabara ya bunju shule(Bunju A), ni mbaya sana.

    ReplyDelete
  3. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Rais JK na serikali anayoiongoza wamefanya mambo makubwa katika ujenzi wa barabara nchini.
    OMBI: Ikumbuke pia Salasala Road iendelezwe pale ilipoishia kwani wakazi wa maeneo ya Kinzudi, Kulangwa na Goba Magharibi wanapata shida.

    ReplyDelete
  4. I love this city God Knows. Keep growing up Dar-es-Salaam.

    ReplyDelete
  5. kwa nini barabara za wilayani huwa ni vumbi tupu, alafu viongozi wetu wamekazania DAR tu, mwanza mji wa pili kwa ukubwa lakini barabara zake ovyoo, four ways kipande kimoja tu, mji wenye watu wengi kama ule hamna hata ambulance lane,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...