Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hili sanamu haliandani kabisa na character ya Mwalimu. Hicho kifimbo kingekuwa kwapani ingependeza zaidi na kumuonyesha kuwa mtu humble. But then its my opiion!!

    ReplyDelete
  2. mmh hizi project za bongo ni majanga inaonekana hiyo square haina muda mrefu toka kukamilika ujenzi wake lkn tiles zishavunjika...sehemu busy kama hiyo nadhani Marble ndio zilikuwa suluhisho badala ya tiles za jikoni zilizowekwa hapo.

    ReplyDelete
  3. Ni kumbukumbu nzuri, lakini ifanyiwe matengenezo ya tiles kabla hazijatoka zote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...