Mkurugenzi na muasisi wa taasisi ya Tanzania Street Children (TSC), Bw. Altaf Hirani akimkabidhi vifaa vya jezi meneja msafara wa timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania, Majuto Ismail, jijini Mwanza kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia la watoto wa mitaani. Picha na Moses Mashalla.
Home
Unlabelled
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAKABIDHIWA VIFAA KABLA YA KWENDA BRAZIL MASHINDANONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ebo wanaenda Kusini?
ReplyDeleteKwa Pele?
Muwe makini madogo wasije kubebeshwa Unga na kufanywa punda!