Home
Unlabelled
ujumbe maridhawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zaidi y Ugumu wa Kudai Ukweni baada ya kukopesha, pana hawa jamaa zetu na ndugu zetu, mashahiba zetu tulio nao ambao ni mahodari sana kwa kutaka Kukopa.
ReplyDeleteWanapokujia Kukopa wanakuwa wanyonge mikono nyuma, lakini wakisha Kopa wanazinduka wanakuwa majasiri na vifua mbele na mikono mbele ikiwa imetuna kama ya John Cena!
Wakati wa marejesho ya Mkopo ukifika, wakidaiwa asalaleee kwanza kabisahuanza kwa kujifanya wamesahau kuwa muda wa kulipa umefika, wanaanza wanakuwa Miamba, wanakuwa Wababe wanakuwa na Hoja za maudhi, wanakuwa wakorofi, wanakuwa wakaidi na viburi!
Hawa ndio wale tutawaita akina ''NIKOPESHE UNIKOME'' !!!