Ujumbe huu umeletwa kwenu na mdau Suleiman Mungiya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ni maridhawa kabisa

    ReplyDelete
  2. Ujumbe maridhawa kweli kweli.HIYO MILIMA KWENYE BACKGROUND NI YA WAPI?Kipande cha Korogwe-Same?au Maneneo ya morogoro mjini?Wapi hapa??Ankal wewe na blog yako nzima umenifanya nipende picha!.Kuzichunguza sana picha na nimekuwa mpenzi wa kupiga picha kila ninaposafiri!.Pamoja na ujumbe wa kwenye lori lakini ni picha nzuri kwa ujumla.Asante kwa aliyeiipiga/ichukua.

    David V

    ReplyDelete
  3. Mimi sikuyasoma maandishi bali nimeona mabomba hayo ya kuleta gesi Dar ili inufaishe jamii kubwa zaidi. ITATOKA KAMA NANYI MLIVYOKULA VYA WENGINE.vvvwv? (vyenu vyenu vya wenzenu vyenu?)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...