Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ujumbe muafaka.

    ReplyDelete
  2. Na kama ungetekelezwa dunia ingekuwa mahali bora pa kuishi. Kila aina ya ufisadi tunayoijua na kuifikiria ipo kwa kuwa hatuwafikirii majirani zetu, iwe ni wenzetu katika ndoa, raia tunaowaongoza, watu wanaohitaji huduma yetu na kadhalika. Tukiwafiria kwa upendo wa kweli kabisa japo kwa udogo wa mahitaji yao yasiyolingana lakini yanayofanana na ya kwetu pengine dunia hii ingekuwa tofauti sana!

    sesophy

    ReplyDelete
  3. Hiyo amri itatutupa wengi Motoni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...