Chantal Mwang’onda
Dunia ikiwa inaelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Umoja wa Mataifa uko mstari wa mbele kuwawezesha wanawake katika maeneo mbalimbali ikiwamo afya ya uzazi, mazingira na hata kuwajengea uwezo wa kujiamini.
Nchini Tanzania Umoja huo kupitia chama cha umoja wa Mataifa cha vijana YUNA umejikita katika kutoa elimu na miongonimwa walionufaika ni Chantal Mwango'nda ambaye amemweleza Joseph Msami wa idhaa hii katika mahojino maalum nmna YUNA ilivyomjengea uwezo.
(SAUTI MAHOJIANO)
Kusikiliza bofya hapa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...