Mkuu wa mkoa Mjini Magharibi Unguja,Bw Abdallah Mwinyi Khamis (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe chakula(kulia) Bi Rebecca Savoure wakati wa uzinduzi wa kampeni za uhamasishaji  virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5,kiwa ni mkakati wa Serikali ya Tanzania,ikishirikiana na USAID Tuboreshe Chakula kupunguza utapiamlo nchini
 Mmoja wa akina mama wenye watoto waliodhuria kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5 akitoa maoni yake.Watoto  wadogo ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya kumi za Tanzania Bara na Visiwani chini ya udhamini  wa USAID
 Wanafunzi wa shule za awali waUnguja walishiriki katika sherehe sherehe za uzinduzi na uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.Watoto hawa ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.
 Mkuu wa Wilaya mjini Unguja ,Bw Abdul Mahmood Mzee (katikati) akisalimiana na Bw Charles David wa USAID na Bi Rebecca Savoure Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe Chakula katika viwanja vya Karakana Unguja,wakati wa uhamasishaji juu ya umuhimu na faida za Virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6 – miaka 5.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya 8 za Tanzania bara na 2 za visiwani
Mkurugenzi mkazi wa shirika la USAID Tuboreshe Chakula, Bi Rebeca Savoure ,akitoa zawadi ya unga lishe kwa mmoja wa  kina mama,mkazi wa Unguja mjini,katika kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto miezi 6-miaka 5,lengo likiwa ni kupunguza utapiamlo nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...