Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia)akibonyeza kitufe ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo ,(wa pili kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,akifuatiwa na Waziri ayeshuhulikia Muungano Samia Suluhu Hassan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia)akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama cha Mapinduzi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia)akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama cha Mapinduzi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo
Baadhi ya wananchi na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika sherehe za Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo,zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi walijumuika na wananchi katika Uzinduzi wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo,zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...