Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizindua Mtandao wa Blog ya Jumiya ya Fawe Zanzibar katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA leo asubuhi,(kulia) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza na wanachama na wananchi katika uzinduzi wa Mtandao wa Fawe Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akimkabidhi cheti Bi Asha Abdalla Juma kwa niaba ya Bi Mwatima Abdalla Juma wakiwa waanzilishi wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar ,wakati wa uzinduzi wa WEB SITE ya Jumuiya hiyo Uliofanyika katika Ukumbi wa wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar na wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza katika uzinduzi wa Mtandao wa Fawe Zanzibar uliofanyika le katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...