Wananchi wa mjini Moshi, waliojitokeza kushangilia magari katika eneo la Mabogini katika mbio za mwaka huu za magari za Vaisakhi |
Moja ya magari yaliyoshiriki mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally, yaliyofanyika jana mjini Moshi. |
Gari aina ya Mitsubishi linaloendeshwa na Dereva mkongwe, Gerrad Miller likikatiza kona katika eneo la Newland. |
Gurjit Dhani akichana mbuga katika eneo la Newland. Kwa picha zaidi za Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...